OUR FATHER in Afrikaans


Baba yetu uliye mbinguni
Tina lako litukuzwe
Ufalme wako
Utufikie duniani kama mbinguni
Tupe leo mkate wetu wa kila siku,
tusamehe makosa yetu, kama tunavyo wasamehe waliotukosea.
Usitutie kishawishini,
bali utuokoe maovuni.
Amina.


Return to Catholic page